ADVERT

29 July, 2008

TANZIA!!

Kwa taarifa za uhakika Mhe. Chacha Wangwe hatunaye duniani...!!amefariki katika ajali ya gari akiwa safarini jana 28.07.2008 akitokea Dodoma.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.

No comments: