ADVERT

25 July, 2008

Shidano...zawadi nono yaja!


Hii picha nimeichukua kwa Kamaradi Chambi kwenye blog ya Udadisi.


Lakini haswa kuiweka hapa nimevutika binafsi na picha hii nataka tutoe maoni nini hapa kilikuwa kinaendelea yaani weka maneno katika picha hii.
Rahisi sana kushiriki yaani clikc hapo kwenye maoni na uyaweke la basi tuma katika email "michaeldalali@gmail.com"

1 comment:

Anonymous said...

Nafikiri sasa Rais wetu amekosa muelekeo na ameamua kufanya ujasiliamali kivyake. We kila kukicha anabuni vijisafari na kukutana na watu maarufu duniani. Endelea mwanawane Chukua Chako Mapema watanzania wameanza kuamka inawezekana miaka kumi isimalizike.