ADVERT

15 April, 2008

Mgomo COet

Iliyokuwa sehemu ya Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam na kuwa chuo kwa sasa cha Uhandisi[COET] leo wameanza mgomo wao kupinga mmoja wa wanafunzi wenzao kurudishwa nyumbani katika sakata linaloendelea kufukuta likiwa limechochewa kutokana na zengwe la uchaguzi

No comments: