Hali ya Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam[UDSM] bado si shwari kufuatia kusimamishwa kufanyika uchaguzi chuoni hapo amabo ungewachagua raisi wa chuo na baadhi ya nyadhifa za uongozi wa wanafunzi.
Licha ya hivyo uchaguzi wa kuchagua makamu raisi uliendelea kama kawaida na kuweza kuja na matokeo ya Naomi R. kushinda dhidi ya mpinzani wake Rehema Kalinga.
Bado hali si shwari kufuatia baadhi ya wanafunzi kurudishwa nyumbani kwa muda usiojulikana ikihusianishwa na uchaguzi hii ni kutokana na kuitisha mkusanyiko wa wanafunzi bila ruhusa ya chuo siku ambayo ndiyo ulikuwa ufanyike uchaguzi.
No comments:
Post a Comment