ADVERT

15 April, 2008

3-0 aibu yao wenyewe!

Hizi ndizo kelele zilizokuwa zikitawala katika mpambano wa kupimana mabavu kati ya wanaume halisi[hawa wanangu] na wanaume TMK!

Mambo mengine nadhani hayafai kujaribishwa kwani kama ule usemi wa wanaume halisi "aibu yetu aibu yao....aibu yao wenyewe" ulikuwa ukidhihirishwa kila wapandapo wanaume TMK....kwani si makopo hayo..achilia mbali kina Fatty na Mchofongo wa Clouds fm kuwasihi sana mashabiki lakini wapi hali ilikuwa ikiendelea.

Ama kweli onyesho lilikuwa kabambe pale walipoingia jukwaani watu kama Afande Selle, Mandojo na Domokaya na hawa wanapendwa ila upande waliochagua uliwapa hali ngumu kushangiliwa hawa ni Nako2Nako toka A-Town

Ama kweli "kaka tusaidie..msuli unao kaka tusaidie" maneno ya Mhe.Temba yanaonekana Nature anamsuli haswaaa..am sure angeweza mwenyewe tu kuwatoa jasho nene Wanaume TMK!

Habari ndo hiyo..mcheza kwao hutunzwa bwana ati!

No comments: