ADVERT

25 April, 2008

Mambo ya "KUNJI"

Wanafunzi wa UDSM wakiwa katika mgomo.....hatimaye lakini mgomo umeweza kufifia na wanafunzi kurejea madarasani toka jana.

Palikuwa hapatoshi kabisa kwani kwa vichapo vilivyokuwa vikiendelea toka kwa FFU kupiga picha ilikuwa shughuli....
Kama unaweza ona vyema katika picha huu mgomo ulihudhuriwa hata na wanafunzi wa nje ya nchi wanaosoma UD hii ndiyo "solidarity forever...."

No comments: