ADVERT

05 March, 2008

TYVA Kuandaa Mkutano Mkuu

TYVA ni asasi ya kiraia ya vijana inatarajia kuwa na mkutano wake mkuu ambao kwa taarifa zilizonifikia utafanyika mnamo tarehe 15.03.2008 katika ukumbi wa Karimjee ambao utaanza saa mbili kamili asubuhi na kuisha mnamo saa nane.

Moja ya mambo muhimu sana ni kuchagua viongozi wapya makini watakaotumikia vijana, pia kutawasilishwa taarifa za utendaji kazi wa kiasasi kwa kipindi cha mwaka 2007 na ripoti ya fedha.

Karibuni vijana wote kuona demokrasia halisi na undani wa asasi makini imara ya vijana nchini Tanzania.

No comments: