ADVERT

25 February, 2008

TANZIA

Naungana kwa majonzi kutoa rambirambi zangu kwa wanafunzi wote wa UDSM na wanaharakati waliokuwa pamoja katika uhai wa Marehemu Deogratius Dominic aliyeaga dunia siku ya Tarehe 23.02.2008 alipozidiwa na maji na kupoteza maisha katika swimming pool UDSM usiku ambao kabla uliambatana na vurugu na mgomo.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi!

No comments: