ADVERT

24 February, 2008

Sauti za Busara zilikuwa Hivi

Hapa nito ana kwa ana na Ras mwenye kudu

Mdau Nambari One Issa Michuzi katika heka heka naye alikuwepo kukamata picha kadhaa
Bado wana Bring The Noise tika British Council wakiwa wanaburudisha, waliweza kuimba katika ladha ya ragga dancehall matata sana iliyowapagaisha mashabiki.

Hapa wana Bring The Noise toka British Council wakifanya vitu vyao..waliimba nyimbo zenye ujumbe mkali sana natamani wangekuwa wameshatoa CD kwani nisinge sita kununua na kuhamasisha
Hakika "maji hufata mkondo, mtoto mdogo wa miaka 5 akiwa jukwaa moja na baba yakeMashabiki wa kila aina waliweza kuburudika katika Burudani ya Sauti za Busara
Watu wa Magharibi nao pia waliweza kuwa sehemu ya Busara ndani ya Sauti za Busara

Mratibu wa WAPI akizindua rasmi WAPI ndani ya Zenj, ikumbukwe huyu ni miongoni mwa wanaHip Hop wa mwazoni kabisa anayehakikisha Hip Hop bado ipo juu
Hapa mchana wakati wa "mic" test one ...two..No comments: