ADVERT

21 February, 2008

Mr and Miss University

Kwa wanajumuiya ya vyuo vikuu natumai mmeona matangazo ya uwepo wa Mr. and Miss University! mashindano yatakayo fanyika 23rd Feb, 2008 Mlimani-Chuo Kikuu.

Miongoni mwa wasanii watakao kuwepo wenye mvuto sana ni Mwanadada Nakaaya mpenzi wa siasa na mwenye kuimudu kuiwasilisha kupitia sanaa ya muziki.

Lakini je mashindano hayo yatakuwa tofauti na mengine? je tunaweza kuona usomi ndani ya mashindano hayo?

Baada ya mashindano nitakuja na habari kamili ya yaliyojiri, tuombe uzima na full data!

No comments: