ADVERT

05 December, 2007

UHURU DAY!

Asasi ya DIRA ya vijana "TYVA" inayofuraha sana kuwakaribisha vijana katika tukio la siku ya UHURU litakalofanyika katika ukumbi wa Nkurumah-Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam siku ya 9th Dec, 2007 saa 8.00 asu hadi 14.00 mchana.

No comments: