Hawa ni vijana wanaoshiriki katika mafunzo ya uongozi yajulikanayo kwa "YLTP" yanayofanywa na asasi ya FES toka katika vyama vya siasa, asasi na vyuo.
Hapa wakiwa katika sehemu ya mafunzo kwa safari ya kimasomo kwenye mahaka ya kimataifa ya Rwanda 'ICTR" na jumuiya ya Africa ya mashariki "EAC"
No comments:
Post a Comment