ADVERT

14 November, 2007

mzimu wa richmond wafufuka!

amini usiamini wajameni....ile hoja ya richmond imefufuka tena bungeni kwa mara nyingine,sijuena wakati huu hatima yake itakuwaje?!? kaa mkao wa kula muda si muda nitakuhabarisha zaidi juu ya hili

2 comments:

Anonymous said...

richard wa monduli si richmonduli!

Anonymous said...

kazi nzuri ,endeleea kuleta vitu update,interesting and well reported ....mdau India