ADVERT

14 November, 2007

mwanetu wenyewe huyu!


Kijana Richard ilikuwa aje na ndege ya Kikenya lakini kwa umakini wa hali ya juu ikaonekana si burasa kwani kaleta sifa na heshima Africa nzima huyu ati hivyo anatarajiwa kuingia leo saa 1900 ndani ya uwanja wa Nyerere na ndege ya kibongo.Hivi kuna sababu asipelekwe bungeni kama kina JK Boyz wakati uleee....hadi wakachangiwa miji hela na wabunge?!

No comments: