ADVERT

12 December, 2007

TYVA na siku ya UHURU

Msanii Makamua alikuwepo akitoa akapela yake juu ya siku ya Uhuru! mambo yalikuwa bang sana aisee shukran sana asasi makini ya TYVA kwa jitihada zake za kila siku. Mnaona hapo nyuma njisi kulivyopamba kizlendo lakini?
Jabali Dk.Lwaitama alikuwepo kumakinisha kwa mada ya elimu adili na uongozi Tanzania.

Deus Valentine aliweza kutoa mada ya vijana katika siku hii ya Uhuru akiwa kama Makamu Mwenyekiti TYVA.


Hapa Michael Dalali akiwa anaratibu tukio zima la siku ya Uhuru lililofanywa na TYVA kwa ushirikiano wa DUPSA na FNF
No comments: