ADVERT

16 December, 2007

Tunamchango gani?

Kuna kundi kubwa sana la wanasociology wanaozalishwa kila leo hasa katika vyuo hapa bongo, je wanatoa mchango gani katika jamii yetu? kuna uwanda upana sana katika kazi za wanasosholojia lakini fikra zimebanwa sana.......tujadiliane nini cha kupanua uwanda wetu huu...kama una website zenye kutoa huu upeo wa kifikra za kisosholojia naomba uwasilishe katika email: michaeldalali@yahoo.com tujadili na kuboresha fani....

No comments: