ADVERT

16 December, 2007

wazo langu!

Nimetokea sana kuufuatilia kwa makini muziki wa kizazi kipya, kuna megni ya kuongelea katika muziki huu! napenda kukaribisha vijana mbalimbali wenye mapenzi na nyanja hii tujadiliane mabo mbalimbali kama namna gani wanamuziki wanawerza kuwa na mchango katika jamii yetu, kipi kinapungua katika muziki huu.

Chonde naomba tuwasiliane kwa email yangu : michaeldalali@yahoo.com

No comments: