ADVERT

26 December, 2007

X-mass, Boxing Day!

Hey jamani vipi Xmass? waauuhh kila kona ni harufu nzuri ya mapishi ya kina dada zetu na mama zetu huku kona kadhaa sauti za chupa za soda zikigongana pale watoto wakiharakisha kurudi nyumbani kuleta soda....ni Xmass kwa kwetu tunaita Noeli.

Na leo ni siku ya kufungua zawadi duuhh mi sijabahatika hata kidogo, hivyo nipo tu napiga kitabu tayari kwa mitihani yangu ijumaa.

Lakini tutafakari: hivi kuna haja kweli ya kuendelea kuweka miti ya xmass majumbani-huu si umamboleo? je kuna umuhimu gani kuweka pamba eti kuvuta hisia za "snow"!jamani nadhani tufikirie upya namna ya kuendesha tafrija zetu hizi.

No comments: