Mhe.Zitto Z. Kabwe wa Kigoma Kaskazini ameteuliwa kuwepo katika kamati mpya ya kupitia sekta ya madini.Mbunge huyu ikumbukwe alisimamishwa kufuatia sakata la kuibua hofu juu ya mkataba wa madini wa "Buzwagi".Wamo ndani John Cheyo,Jaji mstaafu Mark Bomani, Dk. Harrison Mwakyembe na wadau wengine...kila la kheri Zitto bila shaka wembe utakuwa ule ule.
1 comment:
kamati hiyo imeundwa na serikali au vyama vya upinzani....mdau India
Post a Comment