ADVERT

12 November, 2007

Hongera Richard!!

Jana watanzania mioyo yetu ilizizima furaha pale mwakilishi wa Tanzania "Richard"katika jumba la Big Brother Africa aliponyakuwa ushindi nafasi ya kwanza nakujizolea kitita cha kutosha sana....kila la kheri kaka akiliku mkichwa sana tumia vyema pesa na fursa .

No comments: