ADVERT

27 August, 2008

TYVA yachambua Sera Mpya ya Vijana!

Asasi ya TYVA inatarajia kufanya mjadala juu ya sera mpya ya vijana [2007] iliyofanyiwa marekebisho toka ile ya awali ya mwaka 1996.

Mjadala huo unaotarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Rombo Green View-Shekilango,Sinza utachachushwa na mchambua sera na mtafiti wa kujitegemea Ndugu Chambi Chachage.

No comments: