ADVERT

24 August, 2008

Tanzania hata medali ya bronze olimpiki!

Mungu wangu.....jamani hata medali moja ya kufuta machozi katika mashindano ya olimpiki!

Nadhani tunahitaji maandalizi bora sana katika michezo mbali mbali na si tu kukalia michezo michache!

No comments: