ADVERT

30 August, 2008

Chimwaga ya Chama cha Demokrati Marekani


Umati wa wanachama wa chama cha Demokrati cha nchini Marekani wakihudhuria mkutano mkuu wa chama ambao umembariki na kumpitisha Seneta Barack Hussen Obama kuwa mgombea uraisi wa Marekani.

No comments: