ADVERT

26 June, 2008

TYVA na ujio mpya!



Asasi ya TYVA imefungua tovuti nyingine mpya ya taarifa zaidi tofauti ya awali ambayo ipo katika ufatiliaji wake wa kuirudisha hewani!

Tembelea: www.tyvatz.org

Kwa sasa asasi inajipanga kwa nguvu ya damu mpya kuazimisha Siku ya Kijana Duniani 12nd Aug, 2008 kwa kauli mbiu: "Youth a base for sustainable environment"

Tunakaribisha maoni hasa kwa fundraise approaches na links. tuma kwa tyvavijana@yahoo.com

No comments: