ADVERT

10 March, 2008

Tanzia

Bado mzimu wa vifo kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar-Es-Salaam unaendelea kuwaandama.

Nimepokea taarifa inagwa bado si kamili kwamba kuna msiba wa kijana wa mwaka wa nne uhandisi amepoteza maisha baada ya maji kumzidi nguvu huko ufukweni walipokwenda kwa mapumziko.

Mungu alilaze roho ya marehemu mahala pema!

No comments: