ADVERT

16 December, 2007

YLTP6 WAHITIMU!

Kama siku iliyokuwa ya kwanza kwa mafunzo ya FES ya uongozi mnamo tarehe 14th Dec, 2007 katikan hoteli ya "CourtYard" wahitimu waliweza kufunga rasmi mafunzo ya uongozi na kukabithiwa vyeti na zawadi mbalimbali!

Mgeni rasmi alikuwa jaji mkuu Augusto Ramadhan, na kulikuwa na Balozi wa Ujerumani na watu muhimu wengi tu.

Hongera sana wahitimu na kaza mwendo bado kuna mengi ya kujifunza. Pia ni vyema kwa wanaopenda kozi kama hizo kuanza kufukuzia kwani muda wa washiriki wajao ndo umekaribia.

Muda si mfupi nitawaletea vyema matukio katika picha jinsi ilivyokuwa.

No comments: