ADVERT

10 December, 2010

MIAKA 49 YA UHURU WA TANGANYIKA

Endapo kizazi kile cha awali kwa TANGANYIKA kilitimiza utume kwa kuhakikisha kinaletea Uhuru Taifa la Tanganyika.

Je kizazi cha sasa, hususan sisi vijana tunatambua nini hitaji la Taifa la Tanganyika na Tanzania kwa ujumla?Je tunapambana vya kutosha kuhakikisha tunatimiza utume wetu stahili kwa maslahi ya Tanganyika na Tanzania kwa ujumla?Inawezekana endapo tu kila mmoja aking'amua mchango mtakatifu anaoweza utoa kwa Taifa letu, na kuhakikisha anatoa kwa uwezo wake wote akiacha historia angavu kwa vizazi vya sasa na vijavyo.

Anza sasa!

Timiza wajibu wako kadiri ya nafasi yako

UHURU NI KAZI!

No comments: