ADVERT

16 October, 2008

Ilikuwa Kenya sasa inanyemelea Tanzania....mwanzo ni kama wa kufungiwa kwa MwanaHalisi!
Heko waandishi wa Habari hususan Jukwaa la Wahariri kwa kusimama kidete na kutoa msimamo katika hili ambao utakuwa fundisho!

Pia ni ishara hai kwamba Katiba yetu inahitaji mabadiliko makubwa sana.

Aluta Continua!!

1 comment:

Richie said...

Kaka nimekusoma, your blog now is contentfull, nimeanzisha kona ya orodha ya blogs so nishaweka, tupo pamoja!