ADVERT

04 May, 2008

Bongo 50 Cent na G-Unit!

Sasa kila baada ya muda "Bongo" inawaalika masupasta wa nguvu wa dunia kuja kushusha bonge la show....hii ni zamu ya 50 Cent ambaye atapiga show yake kabambe ndani ya Diamond Jubilee kwa kiingilio cha bei chee ya elfu 30[kwa wenye mahesabu ya haraka hapa 50 Cent mwenyewe tunamuona kwa elfu 10 tu kwani si litakuja kundi zima la G-Unit lenye watu 3 na 50 ndani].....duuh ucpimie..

Najua watu wa vyuo wanatamani sana licha ya hali ya kiboom kwenye mrama kipindi kama hiki

2 comments:

Richard Mushi said...

Kaka nimekukubali nakuaminia dogo kaza buti yani hakuna kitu kizuri kama kujiamini. Na utafika tu asikuue moyo mtu. Pamoja mazee, nakuaminia!

Anonymous said...

hesabu haziendi hivyo nkwabi