Bw. Godbless G Marikini mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mkutano wa mafamasia wanafunzi na wafanyakazi ya afrika mashariki iliyofanyika jijini Dar jumamosi iliyopita kujadili juu ya ugonjwa wa malalia na HIV. Godbless pia ni mwanafunzi wa mwaka wa3 wa afamasia pale muhimbili
No comments:
Post a Comment